lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ndung'u mbithi - mahaba yatatuua

Loading...

[intro: ashley kitonga]
siri
yatatuua
si siri
yatatuua

[verse 1: ndung’u mbithi]
usipokua
karibu
siezi pumua
naaga
nafariki
oh nakufa
nalia
usipokua
usipokua

mahaba yatatuua
oh mahaba
oh mahaba, mahaba, mahaba

[verse 2: ndung’u mbithi]
nilikazana na mawazo ya kutengana
umenifanya nihisi tena
nilikazana kuhepa mapenzi
nikang’ang’ana kujifanya
siwezi penda, lakini bana nakupenda
sitadanganya tena
na ukisema hautaenda na mwingine
nitakupenda hadi mahaba itumalize
na nitafanya unachotaka
ulinifanya niwe mnyonge na sina haha na mwingine
ukijifanya huezi penda, nitakazana kukuonyesha mapenzi
karibia nikueleze
naumia
naumia

mapenzi yatatumaliza
oh mapenzi
mahaba yatatuua
oh mahaba, mahaba, mahaba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...