lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nazifuata - komando wa yesu

Loading...

komando wa yesu ~ n~z~fuata

kommando music

uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka

uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka

na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe

aliniambia ameachilia
k~mbe wewe ndo umezuia
akaniambia alitenda kwa wakati
k~mbe wewe ndio mmezuia
k~mbe kule kutanga tanga kulialiya kw~ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai, leo
nataka changu ni ya kiangu kutoka kwa mungu w~ngu, ye

uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka

uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka

ile nyota yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipе
ne afya yangu, unipe
mwenyеwe naitaka, unipe
watoto w~ngu, unipe
nawataka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe

k~mbe ulikuwa unanichoma
nasema sasa imekwisha
vyote ulivyo ni pora, eeeh
ni wakati wa kurudisha miviangu, eh
k~mbe kule kutanga tanga kulialiya kw~ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai lewee

uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka eeeh
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa baba n~z~taka ee
uko uko ziliko n~z~fuata baraka zangu toka kwa mungu n~z~taka

na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka unipe

oh unipe unipe unipe
unipe

hehehe
unipe

lyrics written, compiled and submitted by;
francis oyet opwonya, a ugandan south sudanese investigative journalist and software engineer

all rights reserved…

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...