lirik lagu nay wa mitego - vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
wahuni vipi mambo, poa
oya vipi mambo
madem vipi mambo, poa
attention funga mkanda
tushachoma kibanda
kimau mau kwenye kitanda
rrrrah mashetani yamepanda
kiti kamwaga manyanga
na wakifunika, tunafunua
funua, funua, funua
wakisafisha tunachafua
chafua, chafua, chafua
walidhani kipolo kitachacha(oooh bado)
leo mpaka majogoo kuna kucha(oooh bado)
yaani mwendo wa kondoo, waza kichwa(oooh bado)
ikitoka na shombo safisha
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
oya wanangu eeh, vua roho ya kitete
leo wakizingua vua pete
wakiweka tuweke
wanangu wa mapanga temeke
vua! hata kama ukichafua shemeji atafua
wazee wa kukwarua, hapo pa tuzali bandika bandua
walidhani kipolo kitachacha(oooh bado)
leo mpaka majogoo kuna kucha(oooh bado)
yaani mwendo wa kondoo, waza kichwa(oooh bado)
ikitoka na shombo safisha
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
kiki kiki ki tamba juu
weka ametamba juu
wazee wa kuchoma moshi uende juu
moshi uende
leo kutanga tanga na madawa
mgonjwa kapagawa, ahuu ha!
upande mguu sawa
zungusha kama mbawa, ahuu ha!
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
vua vua vua vua vua nguo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kiyoshi hikawa - 磯千鳥
- lirik lagu young gluk - förward
- lirik lagu ozone ( rou ) - 57
- lirik lagu otile brown - valentine
- lirik lagu zanzu - elda
- lirik lagu grace inspace - sunshine kid
- lirik lagu charlie puth & tate mcrae - what would be hilarious?
- lirik lagu lowkeybaitss - tight jeans on
- lirik lagu tvneshi - jack napier
- lirik lagu zer0xthrash - dra!n