lirik lagu nay wa mitego - thanks lord
ni kwa neema tuuu
ni kwa neema tuuu
ni kwa neema tuuu
kama moyo ungekuwa na sauti ungesema leo ungesikia
ilimuamini sifa zote na utukufu nazo mpa toka moyoni
ulinipa chakula kipindi na njaa
kutuliza moyo usiwe na tama
j~po shida matatizo viligangamaa
bado ukanipa nguvu ya kupambana
thanks lord (ahu)
thanks baba (ahu)
kwa upendo (ahu)
kwa mahaba (ahu)
i believe in you (ahu)
thanks baba (ahu)
nothing without you god i pray
nikitoka ananionesha mw~nga (asante baba)
eeeh eeeh eeeeh (asante baba)
siwezi kitu bila wee (asante baba)
oooh lord (asante baba)
thanks for protecting my family (thank you lord)
eeeh eeeh eeeh (thank you lord)
kafungua njia (thank you lord)
thank you lord
ooh lord
mungu akulaze pema my brother john mjema
ulianza kunione mapema
ukasema nita kuwa noma
kweli mungu mwema
j~po umeondoka mapema
i wish ungekuwepo ulicho tabiri ungekiona
j~po haikuwa rahisi kusikika,kukubalika nimepigana vita
haimanishi kwamba ndo nimefika,sijalizika na sijalewa sifa
nishapigwa kopo kwenye shoo
nishaf~kuzwa studio
wakina hujui kuimba ndo walikuwa wengi johoo
hakuna aliye niamini sio ndugu sio rafiki
hata mpenzi niliye muamini naye alini disappoint(ahuu)
thanks lord (ahu)
thanks baba (ahu)
kwa upеndo (ahu)
kwa mahaba(ahu)
i believe in you (ahu)
thanks baba(ahu)
nothing without you god i pray
nikitoka ananionеsha mw~nga (asante baba)
eeeh eeh eeeeh (asante baba)
siwezi kitu bila wee (asante baba)
oooh lord (asante baba)
thanks for protecting my family (thank you lord)
eeeh eeh eeeh (thank you lord)
kafungua njia (thank you lord)
thank you lord
asante baba, asante baba, asante baba, asante baba
thank you lord, thank you lord
thank you lord, thank you lord
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu underground life - la rivolta degli infanti
- lirik lagu a$ap twelvyy - adventure time
- lirik lagu robert angel - conviction ii
- lirik lagu girl ray - hold tight
- lirik lagu alirezajvn - seda
- lirik lagu 2fordog & gottieworld - smoke
- lirik lagu the andrews sisters - sleepy serenade
- lirik lagu salem - precious
- lirik lagu paybac iboro - brother bartho
- lirik lagu fear (aef) - offline