lirik lagu nay wa mitego - nionjeshe
ooh mamacita eeh
mi napenda ulivyoumbika eeh
ona umenishika eeh
umenishona palipo chanika eeh
beiby my moja number (number)
chumbani nina moja kanga (kanga)
nyoka kazama kwa pango
chachando changanya na ganga
ah kiuno fulani kiko bam bam
nipe kitu tam tam zaidi ya bubble gum
chumbani shangwe mashamsham
nikipiga one touch tuna kam kam
hawapendi niwe nawe nimebaini
hawajui tumesign
napata vitu kama wine
baby chunga usinitoe kwenye timing
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
nionjeshe leo
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
nionjeshe leo
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
mapenzi nionjeshе, nionjeshe
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
wakileta manеno hapa nimezaliwa misemo
beiby kata kiuno imumunye kama vile hauna meno
mama mia, panda nikishuka ng’ang’ania
ikisimama basi ning’inia
napenda unavyosema unaisikia
toto ni matata ha!
ngoja kwanza nikugoogle
simu yangu full charge full bundle
shape nayo sio bongo
melody tamu kama refa wa congo
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
nionjeshe leo
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
nionjeshe leo
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
mapenzi nionjeshe, nionjeshe
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
koko baikoko, koko baikoko
zungusha eeh, mwagika saga
shusha kidogo pandisha, saga
zungusha eeh, mwagika saga
zungusha eeh, mwagika saga
anasema anaisikia, saga
tamu ka nimeichanjia, saga
guu la soda changanya bia, saga
anakula mboga na ua pia, saga
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu metra vetangi - solo
- lirik lagu 5 seconds of summer - me myself & i (live from the royal albert hall)
- lirik lagu islurwhenitalk - #bloodklot *intro*
- lirik lagu annie scherer - everywhere i go (everybody's the same)
- lirik lagu gustavv [pl] - napisz do mnie
- lirik lagu charles milles manson - ego
- lirik lagu worship central - stand up
- lirik lagu aribeatz - mirage
- lirik lagu cristian jeffries - low rider
- lirik lagu the journeymen - in the evening