lirik lagu nay wa mitego - haina makombo
haina nanana
haina yeah
ki chi chi na naipara pia (taekwondo)
kifo ni mchanga pia
kuchi chi ni kwenye zuria (ka mcongo)
nasikia unaitaka hio
najua unaipenda unataka pia
utamu wake ndio unafanya tunaigombania
nikipita nawe utapita pia
hainaga makombo we utamalizia
wengine walitunza yani tunacheza
embe bichi bila chumvi wanamega
sakafuni hio meza mbona shega
injini mbovu ila body linatega
kuna za buku mbili jero mpaka bwerere
sio kitonga shuka mpaka senjele
pastor church kagongesha kengele shiiiii
(haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina
zipo zenye sura mbaya na zimechaka
samaki papa mwenye ladha ya dagaa
haina toxic haikatai ila ogopa masela ikisema imewakataa
haa ikichemka buda we unaweza ipepea (aipepe aipеpe)
tunachapa wima wima na haitembei (aitеmbei aitembei)
nimesimamisha bus kituo sheri
simba kala nyasi mpaka kuberi
nikipewa pass yani no kufeli
ndefu ikigoma mwisho wa reli
anaeidharau hii mboga haki ya nani alaaniwe
hainaga kipolo sio lazima upashiwe
haijawai kosa radha ina kachumvi tu
hata uichakaze vipi kw~ngu safi tu
(haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina
hehehe hainaga makombo weeh
haina haja ya kupasha
kuna za buku mbili jero mpaka bwerere
sio kitonga shuka mpaka senjele
pastor church kagongesha kengele
(haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
haina haina haina haina (haina makombo)
hahaha
oya maneck msalimie musa babaz wa babaz
hii ni 254 na 255
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kid katt - memory lane
- lirik lagu laurel - change
- lirik lagu twenty one pilots - the hype(bandito tour)
- lirik lagu karlien van jaarsveld - voel weer
- lirik lagu yirrmal - love sweet love
- lirik lagu megagrung - bloodsport ii
- lirik lagu tsunami j - elevators slowed
- lirik lagu diorvsyou - ysl fiend
- lirik lagu мальчики (malchiki) - про мальчишек (about boys)
- lirik lagu frankie goes to hollywood - do you think i’m sexy