lirik lagu navie1 - demo
[chorus: navie]
tulianza trap na ma n-gga toka zero
sa we sorrounded na hiyo lugha ya kilatino
kwa namna tunavyosmile unaweza dhani dinho
lipicha bado huu ni mfano hii ni demo
hii ni demo, hii ni demo, lipicha bado huu ni mfano hii demo-2
[verse 1: navie]
hustle dini mi ni mfuasi na nna upako kila day
we na crew yako mko chini ka ndugu yenu kata k
huwa nageuka na kuondoka nkickia naomba ushushe bei
coz my whole mind iko focused kwa ishu za kudouble pay
double price tena twice, venye huyu navie anataka hizi cash
toka twice mpaka thrice, weka vitu heavy sio vyepesi
got the juice sina wasi, mi na wanangu mbona tuko fresh
time to take off na siongei kuhusu mi migos soldiers
kwa kichwa changu mi raisi, kwa miguu ni ma baby balenci
kupata hzo mia rahisi, sitakagi hzo 50 50
sina biashara na wewe ka una chembechembe za uhoe
na nking’ata mara moja girl you already know
naweza add naweza zidisha, naweza bite nawezatikisa
trailer ndo kwanza ka vile linaanza, nkipata wanangu wanapata kwanza
i’m from the mud na hao vituko wanantishia kunshisha chini
hii ni line up tu si unajua ndanda manake tisini
[chorus: 19mng]
tulianza trap na man-gga toka zero
check tunakula sauce zenye kiloo
kupanchi beat wanadance n-gga we know
wataopagawa kitu bado hii ni demo
hii ni demo hii ni demo, wataopagawa kitu bado hii ni demo-2
[verse 2: 19mng]
let me burst
nikiwa nimechill na man-ggas don’t har-ss me
i told ma girl she be smelling like a jasmine
anatoa kwa nani
anatoa kwa mami
mami and dad love mi
sitowalet down yeah
speed kama rarry
ufundi ka ferari
music kama navie
we ni ordinary mi ni extra ordinary man
kama gangster mi ni gangster mwenye confidence
huku pesa hakuna story za kuwa college yeah
sipangi future nawe kama hauna
mi ndo ka black panther
trap hero from wakanda
wenye vibe tunavibe
kwenye ice kama panda
uzuri wa life ni jepesi pale mtonyo check
n-gga i will do best sasa acha tu niflex
[chorus: navie]
tulianza trap na ma n-gga toka zero
sa we sorrounded na hiyo lugha ya kilatino
kwa namna tunavyosmile unaweza dhani dinho
lipicha bado huu ni mfano hii ni demo
hii ni demo, hii ni demo, lipicha bado huu ni mfano hii demo-2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu k3 - chacha loco
- lirik lagu on1y - airplane mode
- lirik lagu melanie - private parts
- lirik lagu cruzito - de que vale
- lirik lagu tomm - nadtai oirhon bai
- lirik lagu terra lightfoot - hold you
- lirik lagu jones (rap) - for the love of you
- lirik lagu ajohntae - growing
- lirik lagu young preach - grow up
- lirik lagu lucas lex - starcrossd