lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu natty gta - iraq

Loading...

bado nakam ka brukka brukka
morio anakam akiduck
tuko loose kwa streets huniita badass
panther kila kitu apa ni black
tusianze na wapi ni dancer
shot zinafly ungedhani ni iraq
fireworks na bado mi ni monster
playlist imejaa mangoma za kujam

uliskia mi hukam na notice
ungedhani ni landlord
shandwa na boy ju ya kuchezwa na pongi
aliinua kitabu akaona akona muscles
boy akona patience
300 men, 300 knights, tumzike amen

mi ni boss ka hugo
hii side unakua smoked ka blem
fat opp alidhani tuko europe
mustve been the sizzurp talking
umeiva taichi na judo
welcome to g kila mtu ni boxing

shocking! ukinipata midnight office
69 doggy, steam ni coffee
shikilia ngwes ka trophy
mfanye ashmoney na mi si bobby
nikirun up ka fugees k!ll him softly
ready or not
inakam na fee joh mi ni mcosty
aim iko steady ping ka yoki
wanasema relax hommie
last walikua tu splashed ka choki
io ni broadday settings akuna takebacks
nikudip then drop him

wapi uyo fala apewe matapo
niliwafunza kubeba upini
i handle my business io ni toka kitambo
(i handle my business io ni toka kitambo)
hawaelewi ii struggle

bado nakam ka brukka brukka
morio anakam akiduck
tuko loose kwa streets huniita badass
panther kila kitu apa ni black
tusianze na wapi ni dancer
shot zinafly ungedhani ni iraq
fireworks na bado mi ni monster
playlist imejaa mangoma za kujam

uliskia mi hukam na notice
ungedhani ni landlord
shandwa na boy ju ya kuchezwa na pongi
aliinua kitabu akaona akona muscles
boy akona patience
300 men, 300 knights, tumzike amen
mi ni boss ka hugo
hii side unakua smoked ka blem


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...