lirik lagu national anthems - tanzania national anthem
Loading...
1.
mungu ibariki africa
wabariki viongozi wake
hekima umoja na
amani hizi ni ngao zetu
afrika na watu wake.
chorus:
ibariki afrika
ibariki afrika
tubariki watoto wa afrika.
2.
mungu ibariki tanzania
dumisha uhuru na umoja
wake kwa waume na watoto
mungu ibariki tanzania na watu wake.
chorus:
ibariki tanzania
ibariki tanzania
tubariki watoto wa tanzania.
sent by carlos andré pereira da silva branco
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu hassisen kone - tll tiell
- lirik lagu hate - and the sin becomes
- lirik lagu hate - apocalypse
- lirik lagu hate - anti-god extremity
- lirik lagu hate - awakening of the liar
- lirik lagu hate - cain's way
- lirik lagu hate - convocation
- lirik lagu hate - flagellation
- lirik lagu hate - dead and mistified
- lirik lagu hate - future is mayhem