lirik lagu national anthem - kenya native anthem text
Loading...
kiswahili
(verse:1)
ee mungu nguvu yetu
ilete baraka kwetu
haki iwe ngao na mlinzi
natukae na udugu
amani na uhuru
raha tupate na ustawi.
(verse:2)
amkeni ndugu zetu
tufanye sote bidii
nasi tujitoe kwa nguvu
nchi yetu ya kenya
tunayoipenda
tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
natujenge taifa letu
ee, ndio wajibu wetu
kenya istahili heshima
tuungane mikono
pamoja kazini
kila siku tuwe na shukrani
sent by carlos andré pereira da silva branco
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pedro the lion - breadwinner you
- lirik lagu pedro the lion - discretion
- lirik lagu pedro the lion - diamond ring
- lirik lagu save the last dance - only you ( bad boy remix)
- lirik lagu save the last dance - u know whats up
- lirik lagu nat king cole - funny
- lirik lagu nat king cole - don't blame me
- lirik lagu save the last dance - you can do it
- lirik lagu saved by the bell - did we ever have a chance?
- lirik lagu saved by the bell - friends forever