lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nasty d blak - heart of a king

Loading...

heart of a king

(intro)

miujiza
stillmagic
nasty,ayo

verse 1
jezebel aipapase,vishawishi viitakase
heart of a king,unachohitaji ucrown a dream
bow down seek elohim
ilipoziona nyota ikafarijika,simanzi kwisha
nirvana,amani ka ganhdi kichwani vita
soul keeper,surface kwa undani ni more deeper
utagusa core ukifa thoughts zikiglow roho hujipa
twanya kile unaown before ceaser, tangaza shida
gold feeder una njaa kila saa na roho haiwezi shiba
the thought ati you can have it all alone ni mwiba
greed ikawa devised setting it off ikawa triggered
callousness is on the rise,getting soft msiba
monuments za ammonites haziresolve hasira
the stories you tell yourself amidst lifе’s drama ni thriller
fun facts,vitu adhesive rеalism haijaibamba bila
hugonga mwamba inaganda inasimama wima
uwoga hainaga kuzoza majanga lazima
even though my days are numbered count me in mzimamzima
uridhi so divine,pieces of a man zimultiply,gawa jina
lineage ya david,ukoo wa ma~slinger


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...