lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nandy - usemi sina

Loading...

[verse 1 : nandy]
utadanganya kusema wengine huwawazi
ukweli ni kwamba wanaume mmeumbwa vichwa wazi
mpaka nakosa majibu
hili penzi lishachanganywa na wivu
mama kanifunza utulivu
ananinisitiza usikuvu, baby

[bridge : nandy]
sa kwanini nisitulie
mfano unaninyima nini ?
uko radhi we uuumie
furaha nipate mimi

[chorus : nandy]
usemi sina, sina, sina
cha kusema sina tena, usemi sina
usemi, sina, sina
usemi sina, usemi sina
cha kusema sina

[verse 2 : harmonize]
mapenzi ni maua
moyoni mw~ngu yanachanua
yalishawahi takaga kuniua
usishangae najishaua
nilipoteza hamu ya kula
ndo mana kila anachonipa nakula
iwe papa ama chura
nakula ndo kisha nakula
[bridge : harmonize]
sa kwanini nisitulie
mfano unaninyima nini ?
uko radhi we uuumie
furaha nipate mimi

[chorus : harmonize]
usemi sina, sina, sina
cha kusema sina tena, usemi sina
usemi, sina, sina
usemi sina, usemi sina
cha kusema sina

[outro]
it feels like i’m falling in move for the first time
i never seen love like this before
nakosa maneno
konde music worldwide
konde boy, call me number one
usemi sina


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...