lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nandy - powerful

Loading...

nilipotoka nilipona, na vijimateso nilionja
mola ananiongoza, najiepusha na ulofa
niko huku ako kule
huyu ndio mungu bwana hawezi vuruga game
na we ndo kinara huku ako kule
ameninyoosha sana nijajitambua

i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako
zaidi, zaidi yao, zaidi

wahenga wahenga walisema aliyejuu mngojee chini
mimi msichana was kisasa siwezi suburia chini
niko gadogado, napambana bado
imani yangu kwako ndo nguzo kwako
niko gadogado, napambana bado
imani yangu kwako

i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako

walisema sina na sitoweza weza kupata na ndo maana leo(wamefyata)
walisema sina nyota yangu ya punda ndo maana leo

i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako

i am powerful
zaidi, zaidi yao, zaidi
sababu yako
zaidi yao
shauri zao
kutoka kwako
cause i’m powerful


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...