lirik lagu nandy - kwamanati
[chorus : nandy]
kama pesa nizetu, bill pia ni zetu
tuacheni tunywe, tulewe
kama shida ni zetu, raha pia ni zetu
tuacheni tunywe, tulewe
[verse 1 : nandy]
pesa yenyewe ya manati
madanga nao wa manati
isitoshe kunipata mimi kwa manati
kwa manati, kwa manati
pesa yenyewe ya manati
madanga nao wa manati
isitoshe kunipata mimi kwa manati
kwa manati, kwa manati
leo tunakesha, mimoshi ya shisha
pisha njia pisha, punguza kubisha
leo tunakesha, mimoshi ya shisha
pisha njia pisha, punguza kubisha
[chorus : nandy]
kama pesa nizetu, bill pia ni zetu
tuacheni tunywe, tulewe
kama shida ni zetu, raha pia ni zetu
tuacheni tunywe, tulewe
[verse 2 : fire mlilo]
ebathi fire injakagogo twana
izwa lesgubhusa siya fitha
nikеla okhethu bra biza
ngicela lama short weh thakila
nangu my sistеr uyang dinga
ebathi fire injakagogo twana
izwa lesgubhusa siya fitha
nikela okhethu bra biza
ngicela lama short weh thakila
nangu my sister uyang dinga
dlala sister wena barbie girl
ubani ozoktshela vuli fes sterr
kuvulwe i circle umane u plasterr
lapho njakagogo lvele i level
ngihamba no nandy nandy nandy
sidla ama sweetie am’nandy nandy
ngiphethe no lg asambe
[verse 3 : nandy]
pesa yenyewe ya manati
madanga nao wa manati
isitoshe kunipata mimi kwa manati
kwa manati, kwa manati
pesa yenyewe ya manati
madanga nao wa manati
isitoshe kunipata mimi kwa manati
kwa manati, kwa manati
leo tunakesha, mimoshi ya shisha
pisha njia pisha, punguza kubisha
leo tunakesha, mimoshi ya shisha
pisha njia pisha, punguza kubisha
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu world destruction, lovmny & астма (asthma03) - money-money-black (sped up)
- lirik lagu lone pigeon - beatmix chocbar wrap
- lirik lagu dj manny - only u (mixed)
- lirik lagu mc skywell - drama (class)
- lirik lagu dougald hendrick - sounds of silence
- lirik lagu effin - lonesome
- lirik lagu sidkidb - the sun
- lirik lagu berenika - another lonely soul
- lirik lagu boi bumbá caprichoso - sonho de caboclo (rio bonito)
- lirik lagu lina cooper & xnk - loud