lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nairobi county choir - ave maria

Loading...

jina maria, ni jina tukufu
lafurahisha, linatutuliza
malaika mbinguni w-n-liimba, usiku na mchana w-n-liimba

(wakisema ave ave maria ni jina tukufu jina la maria)×2

maria mama wa mungu tuombee,
(tuombee kwa mwanao yesu kristu)× 2

jina maria, ni jina tukufu
lafurahisha, linatutuliza
malaika mbinguni w-n-liimba, usiku na mchana w-n-liimba
(wakisema ave ave maria ni jina tukufu jina la maria)×2

jina lako siku zote lapendeza
(wewe uliye mnara wa daudi)×2

jina maria, ni jina tukufu
lafurahisha, linatutuliza
malaika mbinguni w-n-liimba, usiku na mchana w-n-liimba
(wakisema ave ave maria ni jina tukufu jina la maria)×2

jina lako siku zote lapendeza
(wewe uliye malkia wa mbinguni)×2

jina maria, ni jina tukufu
lafurahisha, linatutuliza
malaika mbinguni w-n-liimba, usiku na mchana w-n-liimba
(wakisema ave ave maria ni jina tukufu jina la maria)×2

twaliimba jina lako siku zote
(jina maria linatufurahisha)×2

jina maria, ni jina tukufu
lafurahisha, linatutuliza
malaika mbinguni w-n-liimba, usiku na mchana w-n-liimba
(wakisema ave ave maria ni jina tukufu jina la maria)×4

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...