lirik lagu nadia mukami - lola
[intro: masauti & nadia mukami]
aaah aah aah aha aha
baby
lola
aaah aah
(motif di don)
[verse 1: nadia mukami]
nashangaa na hizi pesa, nilijikuta tu kivyangu
eti mwanzoni ulinipenda, akabisha shetani huku kwetu
lakini mbona hukuniambia, ya siri nijulie mitandaoni
ukweli ukaukimbia, eti mhusika ndo shetani
ama ni kiki unatafutia, ndo maombi yangu moyoni
au ni showbiz na hujaniambia, nisijitese akilini
ona tulianza bila mapeni, na leo tuna magari
nimekosa nini jameni,si ulitaka aliye maarufu
uwape story magazeti,matusi pande mbili
kipenzi cha watu jameni, walitupenda sote wawili ila….
[chorus: masauti & nadia mukami]
loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
loolaaa.. looola
loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
yamemwagika baabaaa
loolaaa… sasa umeniacha na naniii
loolaaa… sudi kw-ngu mimiii
loolaaa… sasa umeniacha na nani mama yoooh
loolaaa… rudi kw-ngu mimiii
[verse 2: masauti]
kweli nimeumbukaaa… sina hata hadhi yakukutazama kwenye sura
nilioyafichaa… mw-ngu moyoni yote umeyajuwa
naona aibu mpaka kwa marafiki zangu
imekuwa chungu, kwa tamaa zangu
nadia ulinipendagaa, na mapenzi yalinoga
mi ndo nilik-mwaga, nakuomba msamaha w-ngu mama
basi usiniadhibu, kwa kosa tayari nimekubali
acha kunihusudu, kila mahali ni mimi mitandaoni
kugombana sio suluhuhisho mama aaah ahaa
tusizidi kuuvunja mwiko mama wa mapenzi yetu mi na wee
[chorus: masauti & nadia mukami]
loolaaa… sasa umeniacha na naniii
loolaaa… sudi kw-ngu mimiii
loolaaa… sasa umeniacha na nani mama yoooh
loolaaa… rudi kw-ngu mimiii
loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
loolaaa.. looola
loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
yamemwagika baabaaa
[outro: masauti & nadia mukami]
umefanya pombe kuwa pacha w-ngu
kichwa ni mawazo kichwani mw-ngu oooh
na si unajua, nakupenda wewe iyee
hayazoleki hayazoleki wowooo…
nadia, nadia wewe nakupenda oooh…
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu chad l. - master of the mystic
- lirik lagu lil flan$ - never
- lirik lagu sasha sokol - si con mi voz pudiera...
- lirik lagu dr@k01387 - eminem diss
- lirik lagu la rua - finché il cuore batte
- lirik lagu 8ball - like dat
- lirik lagu аукцыон (auktyon) - птица (bird)
- lirik lagu saggy d. - skrrtt
- lirik lagu elena gheorghe - dulce ca mierea
- lirik lagu picho - addiction