lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu na enjoy - yammi

Loading...

[intro]
yeleleleo yeleleo mama
yeleleleo yeleleo mama

[verse 1]
kanguo kamtumba na kapafyumu kwa mbali
mnaaanza maneno, neon waja mna nyingi shari
sijafungua kiwanda, mi mjasirkamali
hamuishi w~nganga, mwaka huu vitawapanda visukari
ooh ooh

[pre chorus]
atiii ndugu, lilia bahati
utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati
atiii mnayoomba hayanipati
siogopi, mungu w~ngu yu makini, ananijibu kwa wakati

[chorus]
yeleleleo yeleleo mama
ahh na enjoy
yeleleleo yeleleo mama
sitaki stress aka naenjoy
ooh mama weeee, niacheni nienjoy
shida haziishi sasa bwana neenjoy

[verse 2]
binadamu binadamu, nawaita mara tatu
ata nyota ndogo alisema kuna watu na viatu
wale wa kujipamba sana wawe watu mbеle za watu oooh
tuulizeni sisi, wanaroho za chatu
pili pili ya shamba ya wawashi nini (apo chacha)
eti sawa nadanga, siwadangii nyinyi (hahaaa)
mkipandisha mapanga, mimi sishushi chini (mxiiiewww)
nnalolimudu, nimuachiе mungu kwanini
ooh ooh
[pre chorus]
atiii ndugu, lilia bahati
utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati
atiii mnayoomba hayanipati
siogopi, mungu w~ngu yu makini, ananijibu kwa wakati

[chorus]
yeleleleo yeleleo mama
ahh na enjoy
yeleleleo yeleleo mama
sitaki stress aka naenjoy
ooh mama weeee, niacheni nienjoy
shida haziishi sasa bwana neenjoy


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...