lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu n.c.r (not a christian rebel) – mandela

Loading...

verse 1 (dalian)
uchungu wa mwana, aujuaye mama
tangu upotee, mama ameteseka sana
uchungu wa mwana, aujuaye mama
tangu upotee, mandela…

kanisani tulienda pamoja
sunday skuli tulienda pamoja
mtaani tulishinda pamoja
vitu mingi mingi tulifanya pamoja
tangu uende wanakuulizia
ninashindwa nitasema nini
nitasema ninajua na sijui nitakuwa nimekosa mbele za maulana na aii..

(tunalialia, ulienda wapi
mama anasema anak-missi saaana) -2

pre-chorus
mtaani twak-missi sana eh
kanisani twakungoja bana we
naye mama amelia sana eh
siku ngapi zitapita?
tukikungoja mandelaa…

chorus
(mandela)-3 aaah mandela aaah
(elalalalalala)-3 eiii mandela

verse 2 (k_lax)
kona zote tumefika, hawajui
kitendawili kinatisha, hawategui
kwa jirani tunabishabisha ai
hodi? karibu… ata mi sijui

mama -n-lia, watoto w-n-lia
tena kasiskia shuleni karo wakaf-kuziwa

mandela mzazi, familia yako inakulilia
come rudi nyumbani, mum na watoto wanaangamia
na mungu mbinguni, tunajua yeye hajafurahiaa
come rudi nyumbani, ili usije laaniwa…

pre-chorus
mtaani twak-missi sana eh
kanisani twakungoja bana we
naye mama amelia sana eh
siku ngapi zitapita?
tukikungoja mandelaa…

chorus
(mandela)-3 aaah mandela aaah
(elalalalalala)-3 eiii mandela

bridge (ncr)
kona zote tumefika, hawajui
kitendawili kinatisha, hawategui
kona zote tumefika, hawajui
kitendawili kinatisha aaaah
na ni dalian day k_lax

pre-chorus
mtaani twak-missi sana eh
kanisani twakungoja bana we
naye mama amelia sana eh
siku ngapi zitapita?
tukikungoja mandelaa…

chorus
(mandela)-3 aaah mandela aaah
(elalalalalala)-3 eiii mandela

outro
mtaani twak-missi sana eh
kanisani twakungoja bana we
naye mama amelia sana eh