lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mutoriah - tosheka

Loading...

[verse 1]
i took an apple everyday
to keep the doctors away
ila vile napenda huyu msichana
ni ugonjwa naye ndio dawa
ukisema leo unaondoka
uendako nitakufuata
good love is hard to come by these days
tulia, sikia

[chorus]
watakusema mazuri mabaya mchana
na usiku watazidi kuchochana
ukiwaskiza ee mpenzi utakonda
hivo keti hapa, na utosheke nami
watakusema mazuri na mabaya mchana
na usiku watazidi kuchochana
ukiwaskiza ee mpenzi utakonda
hivo keti hapa, na utosheke nami

[verse 2]
i took a puff every day
to keep my troubled days away
but nothing gets me high like you (high like you baby)
i’m working under your juju
ukisema leo umechoka
nitaruka kichwa ukinitoka yeah
a good girl is hard to come by these days
tulia, sikia
[chorus]
watakusema mazuri na mabaya mchana
na usiku watazidi kuchochana
ukiwaskiza ee mpenzi utakonda
hivo keti hapa, na utoshеke nami
watakusema mazuri na mabaya mchana
na usiku watazidi kuropokwa
ukiwaskiza ee mpenzi utakonda
hivo kеti hapa, na utosheke nami

[outro]
hivo keti hapa, na utosheke nami
hivo keti hapa, na utosheke nami


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...