lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu munta dee - toba

Loading...

verse 1
nishapewa kikombe kitupu, nikanyimwa chai
nshapata ganja, nikakosa pepa, nikanyonga tai
na sometimes nikikosa kali, nanyonga dry
najimix na watoto wa kalitu, wakina elizabet

walokutuma wamekuchonja
uweza kuta sumu ukaonja
uwezi pesa ya uma ukaonga
uwez kujifanya umezongwa

we si umezoea kitongaa
oyaa, huku nna bapa, huku safali
nikipachamwa huku, nnatoka huku mashali
kwanza snitch nikalie mbali
zetu wanazo, kuhusu zao, sina habari

uwez kuninyima wakati unacho
nikipuomba unyumba, naomba nachoo
naona macho, naona unachoo
na chochote nakula—ukinipa sangala, ukinipa hata chura

nakusihi tuliza medula
kuiyelewa hii verse mpaka uwe umekula

chorus
unanijua kwa sababu unaniona
tushaiguwa kwa imani tukapona
hujui nilipotoka, hupajui ninapokwenda
unaleta ukuda, infoma
baba, baba — toba!
waone wanaomba, omba, omba — toba!
toba, toba, toba, toba — waone wanaomba — toba!
baba, baba, baba — toba!
waone wanaomba, omba, omba — tomba!
toba, toba, toba, toba — waone wanaomba — toba!

verse 2
nnahisia na kuflow kwenye beat ya zuku
nnahisia zakuflow kwenye mdundo wa dufu
nnahisia mpaka hisia nimeziacha utupu
nnahisia kuna mtu yuko nyuma ya buku

nnahisia kuna muda kwenye saa ya mshale
nnahisia kali kama last bomb ya marley
unaskia ngoma hii, unaiskia
wanaunga unga, wanaunga matukio
wanao kushika masikio

watakushika makalio
ukipungiwa~pungiwa, nenda ambie wenzio
huku hatuna f~gio, hatupigi kura za ndio

chorus (repeat)
unanijua kwa sababu unaniona
tushaiguwa kwa imani tukapona
hujui nilipotoka, hupajui ninapokwenda
unaleta ukuda, infoma
baba, baba — toba!
waone wanaomba, omba, omba — toba!
toba, toba, toba, toba — waone wanaomba — toba!
baba, baba, baba — toba!
waone wanaomba, omba, omba — tomba!
toba, toba, toba, toba — waone wanaomba — toba!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...