
lirik lagu munta dee - naogopa
#intro
j4d sound
lakini mwenzako naogopaa
lakini mwenzako naogopaa
mama wa toto
lakini mwenzako naogopaa
adasco sikutaji humu ndani
lakini mwenzako naogopaa
munta deeee eehhh
adasco mtu m’baya
#verse
oooh dunia simama nishuke safari yangu
maaana nayaforce wakati sio halali kw~ngu
kila nikipanda nashuka aibu yangu
ndio maana nasema mda badoo
mawazo yalitawala hisia zanguu
walipita wenzako wakacheza na akili yangu
vikwazo wakaniachia majonzi kw~ngu
nandio maana nasema mke mwema atanipa w~ngu
#chorus
mimiii
lakini mwenzako naogopaa
unaipenda najuaaa
lakini mwenzako naogopaa
mi nakupenda unajuaa
lakini mwenzako naogopaa
lakini mwenzako naogopaa
#instrumental
#verse
oooh
alafu nikuambie mapenzi sio masihara bhana
yanaweza kufanya mpaka watu kufarakana
either uchukie ufanye mambo ya sio na maana
mimi ndio maana nasema mda badoo
mawazo yalitawala hisia zanguu
walipita wenzako wakacheza na akili yangu
vikwazo wakaniachia majonzi kw~ngu
nandio maana nasema mke mwema atanipa w~ngu
#chorus
mimiii
lakini mwenzako naogopaa
unaipenda najuaaa
lakini mwenzako naogopaa
mi nakupenda unajuaa
lakini mwenzako naogopaa
lakini mwenzako naogopaa
#outro
naming singeli
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu stay12 - valentýn
- lirik lagu saints mob - seventh heaven
- lirik lagu 连麻swimming (chn) & 刀脚 (dao jiao) - 哦 (that's it)
- lirik lagu ssam (deu) - setlist
- lirik lagu azki - freegeo
- lirik lagu antony guedes - começo de estação
- lirik lagu 63liedwice - bay
- lirik lagu sea of days - darkness
- lirik lagu all systems go (nj) - empty hearts and open regrets
- lirik lagu tzanca uraganu - meneaito