
lirik lagu munta dee - mama
aah mimi sio tozzy wewe
dully kibody dah
mama i love so much
mama i love so much
mama i love so much
ahh weee
napiga goti chini dua mama nakuombea
naimani itakufikia i love you so much
najua mpaka kunizaa mimi changamoto
nyingi mama umepita i love you so much
najua sina cha kukulipa mama dua njema
mimi nakuombeaa mhh hata akama tuko mbali
naimani tutakutana mama nitakuk~mbatiaa
i love you so much
iiii mama iii i love so much
nakupenda mama (mama)
dua njema nakuombea(i love so much)
popote ulipo mama (mama)
naimani ujumbe utakufikia(i love so much)
aaah weee dahhh
iiii mama iii i love so much
iiiii wewe weee
ulikamua maziwa yako usiku mi ninyonye
huku baba akikusumbua anataka mnong’ong’one
ulinifunza mema mwanao nisome
nije nisaidia familia yetu isikwameee
sina cha kukulipa ki nyimbo nakuimbia
naimani kitakufikiaaa (i love so much)
kweli mama misijui ila wewe ndio unaejua maua yako pokea
iiiii mamaa i love so much mamaa i love so much
munta dee
ohh naliaa poleee nalia pole sana
ohh naliaa poleee nalia pole sana
oyaaa dully kii bodyy
seven touch chamos brand
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tam - durum durum (a.n.d.r. baile club remix)
- lirik lagu the weirdos - i want what i want
- lirik lagu ghost $lam purrp - tsunvmi
- lirik lagu forró haja paixão - impossível
- lirik lagu mevma & k!ll villa - $rich
- lirik lagu синева (sin3va) - катя (kate)
- lirik lagu mir blackwell & loop fx - year 24
- lirik lagu peggy gou - i go (dj koze remix)
- lirik lagu 4ortake - so insane!
- lirik lagu anika - oxygen