
lirik lagu munta dee - kuwa serious
ngoja kwanza kwa majina tujuane
kuna sele, kuna iddi, kuna hassani
tumekula, tumekunywa, tupo nane
mbona bill imekuja eti mnikanee?
hii nini, hii nini? (bill yako hiyo)
sasa mbona mnanipa mimi? (kasema we ndiyo tajiri)
kwani tupo w~ngapi, kwani? (mezani tupo watu nane)
haya weita, hii bill igawe kwa nane
oya wanangu, wallet siioni (kuwa serious)
nipo serious
home tutaondokaje? (kuwa serious)
nipo serious
oya masela, wallet siioni (kuwa serious)
nipo serious
nyumbani tutaondokaje? (kuwa serious)
nipo serious
tutatembea kwa miguu kama wafarisayo
mi sio tozzy wewe
kuna mtoto anacheza chura, kanichanganya
sura ya baba, cha ajabu kajazwa nyama
nataka k~mfata, ila demu w~ngu ndiye ananibana
na amesema nikichit tunaachana
kwani kuachana bei gani? (buku jero)
nipeni ilo buku, ilo jero baki nalo
kwani kurudiana bei gani? (buku mbili)
mimi nina buku jero na lile jero buku mbili
oya mjuba, umebakisha hela ya supu
hapa nina mia tatu na chenchi imebaki bukuu
nakupa ratiba mpaka kucheni nipo huku
jero chapati, bati flagin, mia tano napata supu
hunijui, sukujui, sa mbona unaleta hisia
eti twende wote home, je itakuwaje ukinifia?
emu ngoja kwanza, adasco shika shika
mbona wallet siioni (kuwa serious)
nipo serious
hapa umekuja wewe tu (kuwa serious)
nipo serious
oya wanangu, wallet siioni (kuwa serious)
nipo serious
nyumbani tutaondokaje? (kuwa serious)
nipo serious
tutatembea kwa miguu kama wafarisayo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nasaan - does it again (remix)
- lirik lagu dreamwake - dark eternal
- lirik lagu 佐久間龍星 (ryusei sakuma) - beach house
- lirik lagu trottie y gizzle - lil g gang
- lirik lagu el chacal & los alpes floreados - tranki town
- lirik lagu makomadeit - bang!
- lirik lagu salako(uk) - colours merge and fly
- lirik lagu lotus juice - feels right (only a test ver)
- lirik lagu ynl sam - what is love?
- lirik lagu bambl - самим собой (by myself)