lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu munta dee - blessed

Loading...

unablees ka rafiki
unabless kashabiki
unabless kama nani
au unablees unafiki
unabless usnichi
unabless kuhusu kipi
bless vip vip
bless kama bless
tushabless mpaka beat

sitegemei ndumba namuamini muumba
sif~gili wachumba
kama unikubal vunga bhana
usijifanye unanijua sana
nilipo toka upajui mbona
usijifanye unanijua sana
ukiona mchizi sio kichaa
kashapona
ukijifanya supa star chukua kona
oya shobo staki skia ngoma

masnichi kwenye ii trak itawachoma
chamba umbea siunaongea kuhusu mimi
sij~potea natokea kama jini
naishi fear na wanangu ushwahilii
nachochea likiwaka hutoamini
ukijifanya mapozi mapozi nami
usiniltee ustar mi mwenyewe msanii

kichwa kimechemka ninyongee
nani mpishi nikikosa mkaa napikia juani

kama unikubali vunga bhna
usijifanye unanijua sana nilipo toka
upajui mbona usijifanye unanijua sana
ukiona mchizi so kichaa kashapona
ukijifanya supa star chukua kona
oya shobo sitaki sikia ngoma
masnichi kwenye ii trak itawachoma


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...