lirik lagu mtipa - tiktak
tik tak by mtipa
tiktak madam ama ni sister, bad b~tch iko nini form naitisha
stunna ni kama vitu zote anafanya
ashanichanganya nimefall na wadada
tiktak madam ama ni sister, bad b~tch iko nini form naitisha
stunna ni kama vitu zote anafanya
ashanichanganya nimefall na wadada
tiktak nimechanganishwa na huyu madam
tiktak vile napeleka vitu wagwan
tiktak ka movie turudishe hiyo part one
tiktak waba waba vitu joh ni wagwan
wagwan vitu zake zote joh ni wagwan
amejipin vitu zinaongeza matamaa
juala bila tissue inapanguza disaster
ni ka movie ya santa kudeliver nikimpanda
shourty ni mkamba amejibeba very badder
ni kama nilifunga masaa yoyote akitaka
bila shaka, nikifanya kazi shamba
tap tap maji vile nasema amebeba
ai ameweza ai k~mwendesha
tap tap ai vile mbio kupeleka
tik tak vitu zake zote joh ni wagwan
how are you say vitu zake zote joh ni wagwan
tiktak nimechanganishwa na huyu madam
tiktak vile napeleka vitu wagwan
tiktak ka movie turudishe hiyo part one
tiktak waba waba vitu joh ni wagwan
tiktak nimechanganishwa na huyu madam
tiktak vile napeleka vitu wagwan
tiktak ka movie turudishe hiyo part one
tiktak waba waba vitu joh ni wagwan
niko na color inamwagika kwa kitanda
slow mo sio chap chap mranya hataki chap chap
nishajipin shada baby gal hataiwasha
after mechi ni kunyanya juu ya kazi tumefanya
uradi iko sorted na mi hupenda wote
haijalishi kuwa mlima tutaipitia kwa matope
baby gal single fote anajua adi za kobe
kwanza mlunje anachafua kote kote ai
nacheza kwote kwote mangafi na mandole
baby girl usiworry waonyeshe tu kidole ai
lazima nitoke ka haunipendi we niondokee
yeah ka haunipendi we niondokee
tiktak nimechanganishwa na huyu madam
tiktak vile napeleka vitu wagwan
tiktak ka movie turudishe hiyo part one
tiktak waba waba vitu joh ni wagwan
tiktak nimechanganishwa na huyu madam
tiktak vile napeleka vitu wagwan
tiktak ka movie turudishe hiyo part one
tiktak waba waba vitu joh ni wagwan
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mg pablo - set up
- lirik lagu anacondaz - узор (pattern) (clean version)
- lirik lagu joel upperground - siempre cristo jesús
- lirik lagu peste noire - la commune - gilets jaunes (esprit de 1871) [vae victis cover]
- lirik lagu the orphans (group) - gunlingo
- lirik lagu don burnham - apple and google and gold
- lirik lagu ost+front & rabia sorda - fiesta de sexo (rabia sorda remix)
- lirik lagu coma (rou) - mai presus de cuvinte - unplugged
- lirik lagu xavi (mex) - next (mixed)
- lirik lagu god bless this radio - don't wanna love