lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - tumeachana

Loading...

[intro]
j4d sound
aaah vitamin, yooh
aaah msomali hapa
adasco mtu mbaaaya

[verse 1]
sik~muambia simtaki mimi
hakuniambia hanipendi mimi
sik~muambia simtaki mimi
hakuniambia hanipendi mimi

ilaa the session kibao, vurugu kibao
lakini hata siku moja hatuj~pigana vibao
ilaa the session kibao, vurugu kibao
lakini hata siku moja hatuj~pigana vibao

[chorus]
oooh ohhh ohhhh, oooh
mi nashukuru wote tumeachana
mdogo mdogo bila kugombana
mi nashukuru wote tumeachana
mdogo mdogo bila kupigana

oooh ohhh ohhhh, oooh
nikik~miss nitakupiga simu yako
ukinimiss embu nipigie namba yangu
nikik~miss nitakupiga simu yako
ukinimiss embu nipigie namba yangu
[verse 2]
eti nilimpenda, tulipendana
ila tulianachana, hatujagombana
oya nilimpenda, tulipendana
ila tulianachana, hatujagombana

kapata mwengine anempenda zaidi
anakula vingi, mwezangu anafaidi
kapata mwengine anempenda zaidi
anakula vingi, mwezangu anafaidi

[bridge]
konpa, kompaa

anakuja na lovebite shingoni
napotezea, nafanya kama sioni
nikiomba mi nanyimwaa
nikiforce natukanwaa

mama kanifunza kukaa kimya ni sunna
machoni nacheka, moyo umenunaa
kanifunza kukaa kimya ni sunna
machoni nacheka, moyo umenunaa

[outro]
ila namuachia mwenyezi
kuforce force nako mapenzi nako siwezi
ila namuachia mwenyezi
kuforce force nako mapenzi nako siwezi
eti nilimpenda, tulipendana
ila tulianachana, hatujagombana
kapata mwengine anempenda zaidi
anakula vingi, mwezangu anafaidi

[name hyped]
compa, kompaa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...