lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - sina utajiri

Loading...

sina utajiri
aaaaaha
j4d sound
vitamin yooo msomali hapa
hata na mimi nabonyeza reli naitwa meddy voice
aaaa adasco mtu mbaya

mi sina utajiri wa pesa
na utajiri wa chini chini
maji yake kata
kama jembe wake mpini
usje ukaniacha
kisa life yangu duni
mimi nikateseka
maisha yakawa tafarani
sina pesa gari
sina uwezo wa change kanda mbili
maisha yangu mi pusha sadali
ila mungu kanijalia kipaji cha singeli

ooh mapenzi ni mapenzi
na fedha ni fedhaa
tujikune tunapojiweza
hata kama muuni sina fedha
isiwe chazo ukanitelekeza
ukilia nitakubembeleza
tudumu milele niitwe babu we ajuza
honey mimi na wewe kama adamu na hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
honеy mimi na wewe kama adamu na hawa
kwa wenyе maradhi penzi letu ni dawa
we ndio langu tunda la peponi
usije ukanitelekeza twende peponi
we ndio langu tunda la peponi
usije ukanitelekeza twende peponi

mi sina utajiri wa pesa
na utajiri wa chini chini
maji yake kata
kama jembe wake mpini
usje ukaniacha
kisa life yangu duni
mimi nikateseka
maisha yakawa tafarani
sina pesa gari
sina uwezo wa change kanda mbili
maisha yangu mi pusha sadali
ila mungu kanijalia kipaji cha singeli

natafuta maisha ya kweli
ipo siku nitapata kipenzi usijali
maana maisha magumu mwenyewe siunaona
tunaeka ahadi hata kula wali nyama
sio binadamu ridhiki anaota maulana
ipo siku nitapata usiwaze shinuna
unapenda maisha kujidai
vumilia ipo siku na wewe uta enjoy
zako za mtumba za dukani huvai
isiwe chanzo ukaenda ukaniaga bye bye
peke yako nakupenda mwengine sitoboi
ukiniacha mi nitabaki goigoi
honey mimi na wewe kama adamu na hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
honey mimi na wewe kama adamu na hawa
kwa wenye maradhi penzi letu ni dawa
we ndio langu tunda la peponi
usije ukanitelekeza twende peponi
we ndio langu tunda la peponi
usije ukanitelekeza twende peponi

kidole kimoja chawa hakivunji
ndio maana nimeganda kwako
kwa mwengine siendi
yaani wewe unayajua mapenzi
nainjoy everyday kwako sina wekeend
kwako sina wekeend mamaaaaaaa

asandree,shai dadyyyyyy
we tajiri pm,from keko furniture
hata na mimi na bonyeza reli twende nao
mwanangu dee smart kwenye cmu sikupati
twende nao vitaminn


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...