lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - si unajua?

Loading...

dully kibody
ahaa vitamin, yooh
ah msomali hapa
hata na mimi nabonyeza reli
naitwa meddy voice

si unajua mi mwenzako sina kitu
si unajua baba na mama makapukuu
si unajua nimezaliwa mtukutu
si unajua nasifika wizi wa kukuu
maisha yangu unajua
sina kitu mf~koni fedhea
na wewe unataka tufunge ndoa
je nikuulize unaweza kuvumilia?

maana maisha yangu mimi
sekunde mbili utanikuta kaburini
mtaani washachoka tabia zangu mimi
wamepanga plan wanitupe chini
maana maisha yangu mimi
sekunde mbili utanikuta kaburini
mtaani washachoka tabia zangu mimi
wamepanga plan wanitupe chini
eti wanidondoshe mimi

si unajua una ndoto
mimi niishi na wewe
ila naona itashindikana
kila kukicha changamoto
na wazazi wako wewe wataniona road panya
si unajua una ndoto
mimi niishi na wewe
ila naona itashindikana
kila kukicha changamoto
na wazazi wako wewe wataniona road panya
lile serenge serenge dazeni
nishakula vitu vyangu sitaki zesheni
si unajua mtaani wanaita panya
nalivuta kiunoni ukinichanganya
nalivuta kiunoni ukinichanganya

kula kw~ngu mpaka nikalete usela road
nawafokoa mtaani mimi panya road
juzi nimeiba mbala kwa mama mudy
wamepanga wakinikamata waniepeleke kwa god

maana maisha yangu mimi
sekunde mbili utanikuta kaburini
mtaani washachoka tabia zangu mimi
wamepanga plan wanitupe chini
maana maisha yangu mimi
sekunde mbili utanikuta kaburini
mtaani washachoka tabia zangu mimi
wamepanga plan wanitupe chini
eti wanidondoshe mimi

si unajua una ndoto
mimi niishi na wewe
ila naona itashindikana
kila kukicha changamoto
na wazazi wako wewe wataniona road panya
si unajua una ndoto
mimi niishi na wewe
ila naona itashindikana
kila kukicha changamoto
na wazazi wako wewe wataniona road panya
vitamin, yooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...