lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - sawa

Loading...

ahh natamba sana
nick wizzo

hivi niambie, kipi nimefanya
ukaniacha mie, uhuu
hivi niambie, kipi nimefanya
ukaniacha mie, uhuu

labda niiname tuu nifute machozi
limenishuka, shuu, uhuu
labda niiname tuu nifute machozi
limenishuka, shuu, uhuu

hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi yananielemea
hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi inanitokeaa

oohh
sawa, sawaaa, sawaaaaaaa
sawaaaah, sawa
sawaaaaa, sawaaaa àaaah
sawaaaaaaa

kinachonitesa nak~mbuka michezo wa kambale
we unavyoinama unabiduka unaminyia kwa kule
kinachonitesa nak~mbuka michezo wa kambale
we unavyoinama unabiduka unaminyia kwa kule
mazuri mema yote nilio kufanyia
haukunizingatia kisa uwezo w~ngu mia
mazuri mema yote nilio kufanyia
haukunizingatia kisa uwezo w~ngu mia

labda ni jini nimetupiwa
napendwa leo, kesho nachukiwa
napiga goti nayakemea mimii
sio mkorofii na nick anajuaa

hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi yananielеmea
hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi inanitokeaa

oohh
sawa, sawaaa, sawaaaaaaa
sawaaaah, sawa
sawaaaaa, sawaaaa àaaah
sawaaaaaaa

labda nikufе ndio uje kunizika
kw~ngu kipupwe jua lake masika
hakuna baya refu lisilo na nchaa
we sio malaya coz vega haujafika
hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi yananielemea
hivi ni nani alioyaleta duniani
mbona ni mimi inanitokeaa

oohh
nick wizzo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...