lirik lagu msomali - ni wewe
intro
j4d sound
ah vitamin ooohh
adasco m2 baaad
chorus
ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia

oya
maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha

verse
oya
usitamani mali zao, wavuta shisha achana nao
my wee usitamani maisha yao, na ipo siku nitakuwa kama wao
yala ooh napenda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
napenda ukicheka macho unavyolegeza
napеnda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
napеnda ukicheka macho unavyolegeza
wewe ndio langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
my ooh langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
chorus
ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
oya
maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
verse 2
mahaba kibao hapa, mapenzi ndio kwako
usiache mbachao kwa msala upitao
baby unataka nini nikupe, niambie
vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
baby unataka nini nikupe, niambie
vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
unapohitaji nyimbo nzuri nakuimbia
unapotaka kuondoka nakuk~mbatia
unapohitaji kucheka, nami nacheka pia
oohh, minacheka pia
mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
outro
we wanangu wa kusini moja, kucheleeee
wee tajiri vunjaa bei
from keko funiture
asandee, shaii dad
awe god nyaucstar
kima, a we mwanangu masoz
de smart dash papi
aahh msomali hapa
oohooh adasco adascoo
in english
#intro
j4d sound
ah vitamin ooohh
adasco m2 baaad
#chorus
it’s you who makes me feel on top of this world
it’s you who knows, my love, i have no money, yet you endure

oh yeah
life without you, i can’t live, life without you, there’s no life

#verse 1
oh yeah
don’t envy their wealth, those who smoke shisha, leave them
my dear, don’t envy their lives, and one day i’ll be like them
oh, i love it when you smile all the time, the way you wink at me
i love it when you smile, the way your eyes soften
i love it when you smile all the time, the way you wink at me
i love it when you smile, the way your eyes soften
you are my choice, with you i’ve found a place
my dear, you are my choice, with you i’ve found a place
love is about enduring, and you, my love, you endure me
love is about enduring, and you, my love, you endure me
#chorus
it’s you who makes me feel on top of this world
it’s you who knows, my love, i have no money, yet you endure
it’s you who makes me feel on top of this world
it’s you who knows, my love, i have no money, yet you endure
oh yeah
life without you, i can’t live, life without you, there’s no life
life without you, i can’t live, life without you, there’s no life
#verse 2
abundant love here, love is truly with you
don’t leave what you have for a passing challenge
baby, what do you want me to give you? tell me
what i can afford, i’ll give you, my dear

when you need a good song, i sing for you
when you want to leave, i hold you tight
when you need to laugh, i laugh with you too
oh, i laugh too
love is about enduring, and you, my love, you endure me
love is about enduring, and you, my love, you endure me
#outro
you, my southern people, all together, celebrate
you, rich one, break the price
from keko furniture
thank you, shaii dad
awe god nyaucstar
kima, you, my dear, massoz
de smart dash papi
ahh, msomali here
oohooh adasco adascoo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu romeo - middle fingers 2 gods
- lirik lagu the patrick mcnamara problem - phantoms
- lirik lagu 吳雨霏 (kary ng) - 東京三月 (march in tokyo)
- lirik lagu dartagnan - mosqueteros
- lirik lagu if birds were real - i want everything that i can't give
- lirik lagu figurat - krok
- lirik lagu raphelle - kath & kim
- lirik lagu idgitaf - sepenuhnya
- lirik lagu مروان بابلو - daght - ضغط - marwan pablo
- lirik lagu atoy - uarenotready