lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - ma mkali

Loading...

intro
dully kibody!
ah vitamini o!
mh… gigy money

verse 1 – msomali
kifo cha mende bingiri chali
utamu wa asali siku hizi sadali
ananiita mkali
kapagawa na misondo mikanyago

msela hitkeli sili mpaka nipige show
mimi kwa huyu nikileta usela nitafeli
muimba kisingeli kapata mtoto wa tajiri

mimi ndiye niliye mfundisha
kutoa kitu avute mimi
mi nikamfundisha
kwenda club turuke

mimi ndiye niliye mfundisha
mapenzi yanavyofanywa
mimi nikamfundisha
mpaka anaitwa mamaa

chorus – msomali
kwani mimi namuita nani? ma mkali
yeye anaitwa nani? ma mkali
kwani anaitwa nani? ma mkali
verse 2 – gigy money
yeye ndo kanifundisha kutoa kitu nivute
akanifundisha kwenda klabu niruke
akanifundisha mapenzi yanavyofanywa
akasababisha mpaka naitwa mama

chorus – msomali
kwani mimi namuita nani? ma mkali
yeye anaitwa nani? ma mkali
kwani anaitwa nani? ma mkali

verse 3 – gigy money
oy~ah~he!

kanifunza mengi kwanza niache mapepe
kanipa ujasiri, kanipa kitu niwashe
kanipa utamu—sishiwi hamu
yeye ndo kanitoa damu

mimi namuita baba mkali, ananiita mama mkali
nyie mnamuita sadali, mimi namuita mkali
namuita baba mkali, ananiita mama mkali
nyie mnamuita sadali, mimi namuita mkali

refrain – gigy money
yeye ndo kanifundisha kutoa kitu nivute
akanifundisha kwenda klabu niruke
akanifundisha mapenzi yanavyofanywa
akasababisha mpaka naitwa mama
chorus – msomali
kwani mimi namuita nani? ma mkali
yeye anaitwa nani? ma mkali
kwani anaitwa nani? ma mkali

outro – msomali
asandee! shahidani!
we tajiri pm! from keko furniture!
we 2pack wa road!
anko g… g… g… we!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...