lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - kosa langu

Loading...

[intro: kihindi/kigujarati & ad~libs]
બુલા મુજે એદા તુજે તુજે જીના
(ina maana: mpe wito anijie mimi, wewe unaishi)

aah, vitamini yo!
aam somaliyapa!
tuje jina hai, mere bina
doni!
dully kibody!
aah!

[verse 1: msomali]
kuna muda najiuliza, naumiza kichwa
ninajiuliza wapi nilimpokosea
maana naumia yeye mwenzangu anachekelea
maana nalia yeye mwenzangu anafurahia
hivi angejua ya maumivu ninayopitia
angempunguzia kidogo niache kulia

[pre~chorus: msomali]
maana naumia yeye mwenzangu anachekelea
maana nalia yeye mwenzangu anafurahia
hivi angejua ya maumivu ninayopitia
angempunguzia kidogo niache kulia
maana moyo umekufa ganzi, ganzi
hawezi tembea, hiki kitanzi, kitanzi
kimeni~remea, naona duanzi, duanzi
unaoendelea, naona balaa
kw~ngu balaa
[chorus: don breezy & msomali]
yaani hanitaki, hanitaki, hataki kuongеa
yaani ani~wazi, ani~wazi
namshobokea simu nikipiga, nikipiga
hataki pokea, yaani balaa!
kwani kosa langu sijui, sijui
kwani nimekosa nini, sijui, sijui
huеnda simridhishi sijui, sijui
sielewi
kwani kosa langu sijui, sijui
mimi nimekosa nini, sijui, sijui
huenda simridhishi sijui, sijui
sielewi
[verse 2: msomali]
nilijua atakuwa w~ngu milele maishani mw~ngu
ona kaondoka kaniacha peke yangu
hakujali lolote, ameniacha mimi msela
na shida zangu
hivi mapenzi, yana kitu gani?
mbona kila siku mimi tu, mimi ndiyo nachwa jamani!
hivi mapenzi, yana kitu gani?
mbona kila siku mimi tu, mimi ndiyo nachwa jamani!
niliriskia hadi maisha yangu
nilimpa kila kitu changu
nilijua atakuwa w~ngu
ona kaniacha pekee yangu

[pre~chorus: msomali]
maana moyo umekufa ganzi, ganzi
hawezi tembea, hiki kitanzi, kitanzi
kimeni~remea, naona duanzi, duanzi
unaoendelea, naona balaa
kw~ngu balaa

[chorus: don breezy & msomali]
yaani hanitaki, hanitaki, hataki kuongea
yaani ani~wazi, ani~wazi
namshobokea simu nikipiga, nikipiga
hataki pokea, yaani balaa!
kwani kosa langu sijui, sijui
kwani nimekosa nini, sijui, sijui
huenda simridhishi sijui, sijui
sielewi
kwani kosa langu sijui, sijui
mimi nimekosa nini, sijui, sijui
huenda simridhishi sijui, sijui
sielewi
[outro: shout~outs & ad~libs]
asante shah dadi
msomali!
we tajiri p.m. from keko furnichare, eh!
wetu paki wa lodi, meneja chass pizzo, we!
twende macho!
the star, don breezy!
mwanangu banda was a star!
we daruweshi was a star!
the star gang!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...