lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - kazi yangu

Loading...

adasco m2 m’ bad
naheshimu kazi yangu ndio inaniweka mjini
anaenilinda mungu na ndio maaana najiaminii oohh
karibuni wateja
naheshimu kazi yangu ndio inaniweka mjini
anaenilinda mungu na ndio maaana najiaminii oohh
karibuni wateja

ohh cheza na mimi usicheze na biashara yangu
cheza na mimi usicheze na biashara yangu

wakikuambia eti sio kwa uso huo
waambie sio kwa kukomaa uko
mwanamke umekamaa wewe mwenzetu unacheza judoo
mwanamke una kwato wewe,kwani umekuwa beberu

eti kiganjani uenei jeuri yatoka wapi
tena punguza ugaigai nikuogope kwa lipii
ona tuliokuwa tukigombania yamekwisha
tuliokuwa tukipigania yamekwishaa
oya talaka nginjanginja talaka nginjanginja
oya talaka nginjanginja talaka nginjanginja
aah mabegi yake mgongonii talaka nginjanginja
oya viatu vyake mkononii talaka nginjanginja

mtoto anyee kiganja changu,wallah sitoking’oa
naamini walimwengu mnalenu halijawaa
mtoto anyee kiganja changu,wallah sitoking’oa
naamini walimwengu mnalеnu halijawaa
maskini jeuri naringa na bahati yanguu
maskini jeuri siogopi naringa na sawa yangu
eti na kama nimekula chеnu niambieni niwalipe
mnikome mwana wa mwezenu tafadhali mniachee
ooohh na kama nimekula chenu niambieni niwalipe
mnikome mwana wa mwezenu tafadhali mniachee
hawana hawana la kusema hawana hao
hawana hawana la kusema hawana hao
hawana hawana la kusema hawana hao
hawana hawana la kusema hawana hao
eti amebakia vijembe jamani la kusema hawana hao
hawana hawana la kusema hawana hao

fanya ninakutazama unachelewesha nini
fanya ndimi za unyama tia ulimi puani
eti fanya tena fanya hima hujalishi hasilani
kanichagua mi chuma kaniwekaa mimi ndanii

eti kiganjani uenei jeuri yatoka wapi
tena punguza ugaigai nikuogope kwa lipii

yamekwishaa yamekwishaa talaka nginjanginja
talaka nginjanginja
talaka nginjanginja
talaka nginjanginja

singeli kaswida taarab


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...