lirik lagu msomali - happy birthday to me
~~j4d sound~~
~~vitamin music forever~~
~~adasco mtu mbaaya~~
leo siku ya furaha ningekuwa na mama
alionileta duniani
natamani siku ya furaha leo
ningekuwa na mama alionileta duniani
mama popote ulipo leo ndio ile siku ulionileta duniani
najua hapa nilipo upo, unaniskia ila ndio mama sikuoni
ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama mbele ningekuita
ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama mbele ningekuita
leo mama happy birthday to me
happy birthday to me leo mama
happy birthday to me
happy birthday to me leo mama
happy birthday to me
happy birthday to me mi mwanao
happy birthday to me
happy birthday to me
(iii iiiii iiiii iiiii)
acha nikusifie sifa zako nikupе
mama yangu mie
popote ulipo nakuombea dua zangu miе
zikawe mw~nga zikuangaze uko ulipo wewe
unanisikia mama mimi nakupenda sana
unanisikia mama mimi nakupenda sana
ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama mbele ningekuita
ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama mbele ningekuita
leo mama happy birthday to me
happy birthday to me leo mama
happy birthday to me
happy birthday to me leo mama
happy birthday to me
happy birthday to me mi mwanao
happy birthday to me
happy birthday to me
aaahh vitamin music forever
if you love your mama say mama
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nightluxe - kristina garden
- lirik lagu fjellrev - continental
- lirik lagu open kids - hulla bubba
- lirik lagu knerox - daydreams
- lirik lagu mvstafa & mqx - want it all
- lirik lagu sam fortes - grogue tite be caba, cacoi
- lirik lagu wallen - fais la ola
- lirik lagu noahui - love me right
- lirik lagu paty cantú - dicen por ahí (en vivo desde auditorio nacional / 2013)
- lirik lagu trần tâm - mẹ ơi con sẽ trở về