lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu msomali - ex kanitukana

Loading...

[intro]
j4d sound
aaaah vitamin, yooh
aaah adasco mtu mbayaa

[verse 1]
ona silalamikii kuachwa, niliachwa zamani
silalamikii kuachwa kw~ngu, naona burudani
ila kinachoniuma, kwanini katukana nyumbani?

nyie, ex akanitukana
kaniona mimi ni sina maana
ohh, kaja nyumbani kunitukana mimi
wee, ex akanitukana
kaniona mimi ni sina maana, ohhh
ohh mbele za watu kanitukana mimi

[chorus]
ona mara aniite mbwa, mara aniite paka
kwanini alidate na paka?
mie mara aniite paka, mara aniite mbwa
kwanini alidate na mbwa?

[bridge]
kwani kuachana vita? kwani vipi?
mbona maneno yanamtoka?
oyaa eeh, kwani kuachana vita?
kwani vipi, mbona maneno anaropoka?
ona mara aniite mbwa, mara aniite paka
kwanini alidate na paka?
mie mara aniite paka, mara aniite mbwa
kwanini alidate na mbwa?

[verse 2]
mie huyo mpenzi wa leo
ndio adui wa kesho – miyayusho
mie huyo mpenzi wa leo
ndio adui wa kesho – miyayusho

mama siamini tukikutana
matusi tunatukanaa
siamini tukikutana
mbele za watu tunachambana
siamini tukikutana
matusi tunatukanaa
siamini tukikutana
mbele za watu tunachambana

[refrain]
silalamikii kuachwa, niliachwa zamani
silalamikii kuachwa kw~ngu, naona burudani
ila kinachoniuma, kwanini katukana nyumbani?

nyie, ex akanitukana
kaniona mimi ni sina maana
ohh, kaja nyumbani kunitukana mimi
wee, ex akanitukana
kaniona mimi ni sina maana, ohhh
ohh mbele za watu kanitukana mimi
[outro]
sawa nimekonda, nimekondeana – hiyo shauri yako
eti nimekonda, nimekondeana – fanya maisha yako
sawa sina salio, salio
na wewe hauna kalio, kalio
oya sina salio, salio
na wewe hauna kalio, kalio
mimi sina salio, salio
na wewe hauna kalio, kalio

sandee shaidaddiii
we tajiri pm
from keko fenicha eeh
aaah vitamin, yoooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...