lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mr. lenny - leo

Loading...

[intro]
senorita
huyu ni lenny
mamacita
homeboyz ah!
production
huyu ni lenny
musyoka weka hio kick

[chorus]
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

[verse 1]
mara ya kwanza nilipomcheki
kwa kweli ndugu mimi sikuamini
lakini brother mimi sikusleki
nikaamua mi nikajitahidi
muda si muda mi nikainuka
roho juu kama ile ya simba
bila shaka basi nilifika
w~ngu mkono na mimi nikampa

haki ya nani anaua
(ameumbwa kweli akaumbika)
haki ya nani ana sura
(mi sikufichi kweli anapendeza)
nikasema niaje
akasema ni fiti
mambo ni vipi
akasema ni freshi
ole w~ngu huku mimi niliomba tu
kwamba atajipa

[chorus]
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

[verse 2]
mara tu tuliposhajuana
nikatafuta njia za kukatia
nikamwuliza kama ana boyfriend
akanijibu ye hajafanikiwa
nikamwambia dada usijali
chaguo lako kweli limewadia
akanicheki akapiga smilie
siku yangu kweli imewadia

haki ya nani anaua
(ameumbwa kweli akaumbika)
haki ya nani ana sura
(mi sikufichi kweli anapendeza)
nikamwuliza niaje
ungependa kudensi
akasema oh, yes please
simindi kudensi
kufika hapo sasa mimi nikajua
kwamba amejipa

[chorus]
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

[bridge]
nilijaribu bahati yangu one time
nikajaribu bahati yangu two time
nikajaribu bahati yangu three time
na sasa ni w~ngu nasema

nilijaribu bahati yangu one time
nikajaribu bahati yangu two time
nikajaribu bahati yangu three time
na sasa ni w~ngu

sasa yeye ni w~ngu, ni w~ngu
unaona vipi?
sasa yeye ni w~ngu, ni w~ngu
she’s the only one for me

sasa yeye ni w~ngu, ni w~ngu
unaona vipi?
sasa yeye ni w~ngu, ni w~ngu
na mimi siringi

[chorus]
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa w~ngu

[outro]
nakwambia, nakwambia
nakwambia ni w~ngu sasa
nakwambia, nakwambia
nakwambia ni w~ngu sasa
nakwambia, nakwambia (wewe)
nakwambia ni w~ngu sasa
nakwambia nakwambia
nakwambia ni w~ngu sasa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...