lirik lagu mr. lash - hawatuwezi
~ jilly beatz ~
oooh… baby mi nakupenda
baby mi nakupenda
~ mr. lash ~
ey
nahisi kama vile we ni sita na mi ni ram
mafisi vile w~n~leta vita utadhani ramayan
na wako busy wanazua visa, hawa binadam
machizi vile wanapitapita kweli hii ni mitihani
ey
na waga sina raha
nikikosa tabasamu lako mapozi na vile wanikiss kiss
tumetoka far
nakosa kabisa hamu ya msosi vile nak~miss miss
ninawashangaa
hawa binadamu w~n~leta goz goz daily wanadiss diss
tena nitatabasamu siku ya harusi vile wengi tutap~ss p~ss
~ jilly beatz ~
kutwa wantuwinda, mpenzi
watasema mchana, usiku watalala
maneno yao watashindwa, hawawezi
watasema mchana, usiku watalala
~ don santo ~
nimewahi kushikilia wengine hapo awali, lakini haikuwa kama hii, your the one i love
ambapo mwili w~ngu unakuvuta
na watetemeka kwa neema
ambapo hisia zangu zinahangaika
kutoka kwa nguvu ya hamu
aram tapa tapa you’re my best friend, finest
my darkness turns into brightness
my sadness turns into happiness
mmh
you’re my lover;
my one and only;
i love you! i love you! i love you! i love you! eeeiy!
~ jilly beatz ~
kutwa wantuwinda, mpenzi
watasema mchana, usiku watalala
maneno yao watashindwa, hawawezi
watasema mchana, usiku watalala
~ mr. lash ~
acha walete compe
watapatana na makofi kibao, na fimbo za bamboo
tucheze alous mabele
samba mapangala, kofi, defao, na nyimbo za madilu
na usiskize matajiri, hili swala la mahaba waeza niita pia mi kassim
wasikuchezee akili, mbona sisi twala ama labda pesa ya pizza kwetu ni adim
wanasema umepanda bei
tattoo mwilini wachora tu za bae
mambo yatajipa twende holiday
sema we ni w~ngu sanaipei
~ jilly beatz ~
kutwa wantuwinda, mpenzi
watasema mchana, usiku watalala
maneno yao watashindwa, hawawezi
watasema mchana, usiku watalala
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu steffen lukas - heiko heiko (sachsensong)
- lirik lagu bright campa - losing control
- lirik lagu féfé - mémos #10
- lirik lagu infidelity - ultraviolence
- lirik lagu deo vindice jr. - a dish served cold
- lirik lagu kalazh44 - rot und blau
- lirik lagu venice (us) - high so high
- lirik lagu anthony lamarca - crying
- lirik lagu raud - gwala
- lirik lagu chris james - the way you look at me