lirik lagu mr. blue - mbwa koko
mc samaki shombo aah,
nahodha ndio kwanza nawasha chombo
bongo dar fata uende kombo ah
nitukuane kijamaica bambatraa
eh rap sijaanza juzi
toka bwana joti hayajui makuzi
inanipa pesa nakoga kwenye jakuzi
mic mi nadaka toka hata ya slali
mtoto anaekula bata mpaka bata ina smile
rap game sio tabaka ntachange mastyle
homeboy pia tabata msipaone ni mbali
eeeh mganga najiganga
niko na c-ssim kabla ya kuwa mganga
tmk wala hawayajui mapanga
bi saida kallori nae hazijui karanga
mara anachambua kama karanga
kwahiyo nduki ukiniona lazma utokr nduki
hustuki siogopi simba sijabeba bunduki steel km d na uncle snuppy
mademu wakiniona bongoland wanavua chupi
gucci ndio zimewafanya wakae uchi
poa basi mwanangu ali kiba seduce me
nasikia kelele zinalia kila kona
wowowo wowowo k-mbe ni mbwa koko
nasikia majibwa kila kona
wowowowo wowow k-mbe ni mbea koko
haw-ng’ati haw-ng’ati k-mbe ni mbwa koko
haw-ng’ati haw-ng’ati k-mbe ni mbwa koko
maskini wee unabweka kama mbwa koko
tajiri weee niko studio naingiza vocol
game nimekubali naliteka soko
bling kila mahali wananiita mzee wa mitoko
kwahiyo dogo punguza nyoko nyoko
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu evo+ - rondo
- lirik lagu bob seger - hey gypsy
- lirik lagu iceage - catch it
- lirik lagu annie leblanc - little things
- lirik lagu bondage fairies - alfa gaga cp wifi
- lirik lagu helen baylor - there is no denying
- lirik lagu bob seger - detroit made
- lirik lagu king tuff - the other
- lirik lagu sophie ellis-bextor - death of love
- lirik lagu hanako oku - 泡沫