lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mpishi - matata

Loading...

[verse 1: freddy]

leo supper tunakula hadi mpishi
bora tushibe, aah
mwiko refu tunafunga hadi mshipi
bora tupike

ka mbaya buda unaeza gongewa
hauna mbota na bado timing unatolewa
bora mpishi juu mpishi bora ashaolewa
busy but niko easy ganji ikitolewa

[pre~chorus: richie]

baby don’t touch me there
mikono weka juu in the air
ah mi say touch me there
shuka down low find me there
[chorus: marcus]

hakuna cha reverse nikishakanyaga scene
i’m always on time
lagunya zimefit kwa nyong’inyo ni magreen
feeling really high, high

i’m feeling best cheki vile najinice
i’m really blessed cheki you cannot deny
feeling really high, high
high, high, high
[verse 2: fezzoh]
zimenibamba zimefika hadi kwa toes
usinipe hio number ka unapeanga kikos
nilikuwa nishande nikajipata nimedoz
seti on a daily hii ni dawa hii ni dose

spirit iko so high huezi shusha walai
baby don’t be so shy itisha kenye unadai
feeling really high, high, high, high, high, high
kila kitu alright, aight, aight, aight, aight
[pre~chorus: richie]

baby don’t touch me there
mikono weka juu in the air
ah mi say touch me there
shuka down low find me there
[chorus: marcus]

hakuna cha reverse nikishakanyaga scene
i’m always on time
lagunya zimefit kwa nyong’inyo ni magreen
feeling really high, high

i’m feeling best cheki vile najinice
i’m really blessed cheki you cannot deny
feeling really high, high
high, high, high
[verse 3: bien]
anadai k~medi basi mi ndio medicine
na doba zangu kwake ni therapy
mzimbiting nakutibu from within
a win is a win nikishakanyaga scene

mukhana nice and lovely sweet and s~xy
girl won’t you catch a whine for me
ah take me back to december ukipuliza kipenga
hii mechi we’ ndio referee

ah shifura (shifura), ah shifura
ah shifura hapo umeguza murima (murima)
anainama, anainuka
atoti dedli dedli sudika
[chorus: marcus]

hakuna cha reverse nikishakanyaga scene
i’m always on time
lagunya zimefit kwa nyong’inyo ni magreen
feeling really high, high

i’m feeling best cheki vile najinice
i’m really blessed cheki you cannot deny
feeling really high, high
high, high, high


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...