
lirik lagu moza christine - sitaki kwenda mbali
uwepo wako
ni paradiso kw~ngu
dakika moja karibu yako yesu
ni faida ya milele
oh yesu w~ngu eeeee
sitaki kwenda mbali na wewe yesu
umenitoa mbali oooo
oh umenitoa mbali yesu
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali oooo
nak~mbuka nilipo umia rohoni baba
uliganda vidonda vyangu nikaponaa
nak~mbuka nilipoachwa na wapendwa babaaa
ulipanguza machozi yangu yesu eeee
nguvu yako ni furaha kw~ngu yesu
uwepo wako ni amani kw~ngu uuuu
ndio maana sitaki kwenda mbali eeee
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuuu
umenitoa mbali ooooo
umenitoa mbali yesu
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali oooo
nitakaa kwa miguu yako yesu eee
sitaki kwenda mbali na wewe yesu
umenitoa mbali ooooo
mambo ya dunia yanatisha baba
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali oooo
jesus oooooo
huuu jesus, quand je pleure tu me console
quand je me trompe, tu me corrige
hoooo quand je trébuche tu me soutient
oh quand je ne peux plus marché
jesus tu me porte dans tes bras oooooo
ma vie seigneur sans toi, ça n′a pas de sens
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali ooooo
umenitoa mbali yesu
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali ooooo
umenitoa mbali ebenezer
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali
sitaki kwenda mbali nawe mbali nawe
sitaki kwenda mbali na wewe yesu uuu
umenitoa mbali ooooo
petro alimujibu yesu uuu
nikuache yesu niende kwa nani mwenzenu miye
kwako tu kuna raha ya maisha
kwako tu kuna faraja yeeeee
kwako tu kuna ufuf~ko
kwako tu kuna salama oh yesu yesu yesu yesu
kwako tu kuna yote eeee
huu yesu ni wewe amani yangu
bendera ya ushindi nissi huu
yesu ni wewe ushindi w~ngu uuu
amani na salama yesu eee
yesu ni wewe raha yangu
ninapokuwa na swali yesu ni jibu yangu ooooo
yesu ni wewe jibu yangu huu
amani ya maisha yesu weee
yesu ni wewe amani yangu
ushindi ya maisha najivunia yooooo
yesu ni wewe ushindi w~ngu
raha raha raha yesu weee
yesu ni wewe raha yangu huu
jibu yangu jibu ya kila siku yesu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu y (band) - ladies who
- lirik lagu keep shelly in athens - dark ages
- lirik lagu talish boy - gangim (explicit)
- lirik lagu baby6lock - на скилах (on the skills)
- lirik lagu sam ryder - white lies (live from 1979)
- lirik lagu p1ibeatz - psychotherapy
- lirik lagu lotte lenya - alabama-song (1930)
- lirik lagu achings - lake
- lirik lagu niss wiidely - bleed
- lirik lagu mc glauco astolfo gago - diss pro भास्कर ज्योति pt. 2