lirik lagu mors - the
intro
we bringing new vibes out aaanha…
verse 1 [sava]
hajui ka nakana watu nowdays
hata ndugu siwapi salamu nowdays
hajui kanabana girls nowdays
hata mijimama minakula nowdays
hajui ka sikuizi naitwa baba na niii
alafu mtaa wapili kuna mimba yangu mi
hajui kwenye club zote mi vip
wapinzani w-ngu wote rip
pesa ya twt napewa naenda club nalewa (club na lewa)
yaani yote nakula nashinda location nauza sura
namaswali mengi sana hivi kwanini natukana sana?
hizi tabia nimerithi ama?
ila kwani kweli mbona daddy hana?
chorus
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
verse 2 [t.blast]
mama knows am a saint ei, she doesn’t know am a culprit
stay low fit with gucci sh-t
she lecturer me that she proud of me
she doesn’t know that i rap or trap
is she really that lame!? can’t see i’m insane,drunk and lame ,no kinda game’s
mama doesn’t know
i’m a loner no more
take off the bags,i’m a savage ever more
ma doesn’t know, i’m shy no more
let it go liity, i’m a stain that foul
i’m so keen but am really that mean
now, she knows i’m the first boy ,she ma first choice
don’t believe dat, understand it
i’m the worst in the galaxy,watch ur fantasy
coz am more than you see
chorus
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
verse 3 [dully stain]
ninakula ganja ninaluka tu viwanja ila mama hajuijuijui
nakesha kama mw-nga toto zao zina danga ila mama hajuijuijui
ninapenda sana vyura }2
dada yako nishamkula}2
anajua kwamba nimeokoka (koka)
k-mbe midnight natoroka (oka)
namatusi daily naropoka
ikifika jumapili church nmechoka (praaaaa)
nimekua star in the city
kila mtu anataka awe kama mimi
wananifata machick ila mama akijua hatoamini
chorus
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
mama hajui mama hajui
ha ha ha ha
city music….
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the tallest man on earth - a lion's heart
- lirik lagu vesterberg - trashtalk
- lirik lagu south park mexican - who's over there
- lirik lagu the b.u.m.s - lyfe 'n' tyme
- lirik lagu psycho realm - the killing fields
- lirik lagu stan getz - samba de uma nota so
- lirik lagu andre the giant - the d.i.t.c. ent. cipher
- lirik lagu azmi-a - dark sadness
- lirik lagu sungha jung - livin' on a prayer
- lirik lagu crooked i - pocket full of money