lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu moji shortbabaa - mwaka huu

Loading...

mwaka huu
ni favor tu
baraka tu

neema tu
mwaka huu
ni favor tu
baraka tu
neema tu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu

all is see is blessings
all i see is favor
all over me all over me
all i see goodness
all i see is mercy
they follow me they follow me

nitakua sawa kila kona
mkono wake nitaona
nitakua sawa kila kona
ataniponya nitapona

nitakua sawa kila kona
mkono wake nitaona
nitakua sawa kila kona
ataniponya nitapona

huu mwaka mtaniona
huu mwaka mtaniskia
this is my year ah this is my year
huu mwaka mtaniona
huu mwaka mtaniskia
this is my year this is year year year eh

mwaka huu
ni favor tu
baraka tu
neema tu
mwaka huu
ni favor tu
baraka tu
neema tu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu

hakika wema na fadhili ah
zinanifuata mimi
upande upande juu chini ah
hakika wema na fadhili
zinanifuata mimi
upande upande juu chini

adui hataniweza
weza weza weza
hapa hakuna kucheza
cheza cheza cheza
baba atandaa meza
meza meza meza
kunishika nikiteleza
teleza eza eza eza

huu mwaka mtaniona
huu mwaka mtaniskia
this is my year ah this is my year
huu mwaka mtaniona
huu mwaka mtaniskia
this is my year this is year year year eh

mwaka huu
ni favor tu
baraka tu
neema tu
mwaka huu
ni favor tu
baraka tu
neema tu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu
favor on me
blessings on me
this is my year
ehh mwaka huu

huu mwaka mtaniona
huu mwaka mtaniskia
this is my year this is my year.


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...