lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mogi - fly

Loading...

ah
yeah

verse 1:

hii ni ya wale wako na dream
na si dream tu pia scheme
hao ndio watu mi naheshim
juu ukiwa na breath uko blessed na unasaka bread
ukiwa the winner usichoke we tu endelea
na usake team
especially maarif juu ya esteem
kuna time utapigwa vita and you need shoulders to lean on
the deck wekelea what’s excepected na uongezee
wakiuliza hii drive imetoka wapi waelezee
hook:

i’m just a dreamer
my hudriviwa na ambition sio bima
ati the sky is the limit, mmh walikupima now
watch me fly, watch me fly ~2

verse 2:

time is the remedy
walisema tu it heals
i got the medicine
that’s why i be sick all year na mi sigonjeki
milima na mabonde zimenijenga misibondeki
watu wa shortcut huget cut short
na misigeuki ka wife ya lot
coz mimi ndio mchuzi kwa hii dunia
i’m the salt i keep moving they can’t loose me
i guess what i’m saying is
there’s no reason to stop
utajuaje unawalk the talk bila kuflip io flop
uwezi stay rooted na ugrow bila kutip your toe
na kaa oy jnr. mi ni g i joe
status hainistui status
juu si live by your standards nyi mnalive for standard
ukiulizwa where you stand by unatueka stand by
mkidai nirip lies na clout kaa nyi this is my reply
hook:

im just a dreamer
my hudriviwa na ambition sio bima
ati the sky is the limit alikupima
watch me fly watch me fly ~2

verse 3:

hii ni ya madreamer joh
ya wale wanadai kufanya vitu impossible
huwezi skiza watu about your dream
juu ukischeme on the scene uko alone
there’s nothing they know
we kaa jikoni ukipika tu
ukiungua mikono ujikate or if they fire you
usisahau io talent is deep inside of you
so giving up won’t help ni we itaumiza tu
10 times fallen 10 times raised
ukikeep potential burning buda utakua amazed
coz chenye iko ndani yako buda iko base
ni responsibility yako kuidiscover na uchange
change for the better
kwa kioo ndio mahali inaanzia
wachana na social hio ni pazia
hakuna kitu itanikazia
bahati ikisimama kaa ya azziad
unapick it up na unarun
so chora plan
usisake followers
we saka tu core fans
stay true to yourself
to your friends to your god and fam
it will be clear uko different
wakiuliza washow
hook:

im just a dreamer
my hudriviwa na ambition sio bima
ati the sky is the limit alikupima
watch me fly watch me fly ~2

watch me fly watch me fly now~4


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...