lirik lagu miracle noma - fundikira
intro…
yeah yeah, noma again
listen
verse 1
kudadadeki/
soja nagawa kichapo ka vile nimewakuta raia na bukta za jeshi/
check, nazama chimbo kisha naibuka na verse/
naibuka pac, naibuka sean price, naibuka langa naibuka ngwair naibuka na wote nakuja na mizuka kishenzi/
nawatisha, kisha nawasha moto nawapika/
ni machoko wakichana vocal kama wanatiwa/
miracle noma matawi ya juu sana/
natisha bongo kenya, malawi na u ganda/
old school leta niwafundishe manewcomer/
ni makuu_maana wanachana kama kubanda/
na mi ni noma uliza wote wanajua/
ukiniletea gozi gozi natuliza nabutua/
miracle na miujiza mi ndo yesu/
na ukisikia mtu yuko ndani ya nyumba mi ndo kwetu/
yeah yeah
corus(rama)
uwezo unaonekana tangu enzi hizoo…
haina kushindana babu utang°ata jiwee…
check wanapima sina lavel hizooo…
fanya unachofanya jomba uajua mwenyeweee…
mi ndo fundikira fundikira fundikira
vesrse 2
naona mnafoka, hamna focus/
bongo bahati mbaya ngoma nzima naona four barz/
hiyo sio ngoma ni corus/
ambayo watangazaji wenu wanasema ni consious/
mnadhani hip hop ni game la kinokia/
ndo mje mcheze kama game la kinyoka/
mpate fame na mademu wa kitonga/
msikike kila sehemu na show za laki moja/
acha mchezo kwenye huu mchezo wewe/
kwenye huu mchezo huu uwezo sio mchezo wewe/
nawatoa mchezoni, refa na card nyekundu/
nyie marapper inabidi mjue hii ni kazi ya mtu/
hip hop ni street fashon, sio mambo za fashoon/
skin jeans sijuj na nini mambo za mashory/
tajiri wa mistali, mansa mussa/
(ni_kiminika) kwenye beat w-n-lia oii maama nakufa/
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu harijs spanovskis - dzejnieks
- lirik lagu johnny thunders - great big kiss (live)
- lirik lagu camilo sesto - mientras mi alma sienta
- lirik lagu david byrne & fatboy slim - you'll be taken care of
- lirik lagu caravan - memory lain, hugh headloss
- lirik lagu cole hamilton - afterparty (cole remix)
- lirik lagu the violet burning - eleanor
- lirik lagu ana moura - a case of you
- lirik lagu nixen - samme for mig
- lirik lagu bobby caldwell - all the way