lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mimi mars - una

Loading...

(rooftop audio station)

na anajiamini
halali nje ~n~lala na mimi
ndani ndani
wengine wa nini? yeiye
anadata anavyopewa na mimi
chumbani chumbani

una unanichanganya(una una)
unavyonifanya(una una)
unanichanganya sana
tena ukinigusaga
na kunipazaga
unanichanganya sana
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unanichanganya

weka niweke wee
weka niweke wee
weka niweke wee
weka niweke wee
hata kama nitakosea usininunie beiby
niambie
bana si unajua mwanadamu
niambie
na unavyoninogesha
ukija kuacha
mwenzako nitajutia
utanitoa roho, utanitoa roho

habari za mjini kwani nini wee
natoka na mimi kwani nini wee
mchezo mchezo na baby wa mimi wee
tulipotoka wanajua ni nini wee
sema ukweli nishampata, nishamnasa
alafu sasa na kwenye bedi mtamu haswa
chuma mimi ila sumaku ishamnasa
pelekeni angaza huo wenu ushauri nasaha
anavyozungusha hicho kiuno
mimi ndo n~z~disha miguno
wanapataka sasa unavyowapatia michuno
kwani hawapati usingizi wakisikia miguno

una unanichanganya(una una)
unavyonifanya(una una)
unanichanganya sana
tena ukinigusaga
na kunipazaga
unanichanganya sana
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unavyonipa vyote
ukinigusa napagawa kote
unanichanganya unanichanganya
weka niweke wee
weka niweke wee
weka niweke wee
weka niweke wee

umenishika pabaya
umenishika pabaya(oooh yeah beib)
umenishika pabaya
we bwana ni mbaya
umenishika pabaya
umenishika pabaya(aaah aah)
umenishika pabaya
we dada ni mbaya
una una, una una
una una, una una


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...