lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mimi mars - dedee

Loading...

[verse 1]
toka nimpate, pate, pate boy
sitaki nimwache, ache, ache boy
nini kw~ngu atake, take, take boy
kw~ngu asipate, pate, pate boy

[pre chorus]
nampa vyote, ananipa na mimi
anachofanya, kasoro sioni
akinishika hoi, taabani
mie mtoto wake kitandani
nampa vyote, ananipa na mimi
anachofanya, kasoro sioni
akinishika hoi, taabani
mie mtoto wake kitandani

[chorus]
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi
[verse 2]
nafuraha, nafuraha, nafuraha, nafuraha
mimi kuwa naye
vitamu tamu ananipatia
yeye ndo wa pekee
don’t bother, wote mjue yupo na me
don’t matter, vile sioni wala sisikii
don’t bother, wote mjue yupo na me

[pre chorus]
nampa vyote, ananipa na mimi
anachofanya, kasoro sioni
akinishika hoi, taabani
mie mtoto wake kitandani
nampa vyote, ananipa na mimi
anachofanya, kasoro sioni
akinishika hoi, taabani
mie mtoto wake kitandani

[chorus]
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi
[outro]
yeiyeeee… oh dedee
oh dedee
oh dedee
oh dedee

[chorus]
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi
napewa vitu matata mimi (oh dedee)
matata mimi (oh dedee)
ananifanya nadata mimi (oh dedee)
nadata mimi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...