lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mic gower - 01. anakupenda

Loading...

intro [ mic gower & chazz barton ]

verse 1 [ mic gower ]

umenitoa mbali, jesus!
umeniweka safi , jesus!
ts like magic, oh right
but ni baraka zako, nice!

kila siku ni ku fight vita vya nyama
ukaniweka wazi
niko safi , sina stress, na spit grace
no jockin, uh

kama unampenda yesu njoo!
najua vtu vingi tuff, bro!
kwake yesu life simple , wooow!

kuomba , bible , kufunga
mahubiri, kuimba na kucheza
ku shine, swaggz, am blessed!
namshukuru yeye, kanipa amani ,na furaha tele moyoni

chorus [ chazz barton ]
ni upendo wa moyoni
ni upendo wa rohoni
he loves you, x4
anakupenda (2)

verse 2 [ mic gower ]

anakupenda, anakujali
ataki yeye uwende, mbali
ya nini, ujichafue, kwa nini?

ewe kijana, kaka, dada
fanya maamuzi sahihi
mfate yesu uwokolewe

haijalishi mzigo mzito kiasi gani

yeye ni njia ya uzima wa milele

ujana ndani ya wokovu ni raha
tenda neno , fata neno
jikane kwanza, jijali sana, mfate sana

remission day yu know u got t, mambo yote yako shware
r4c , no swet, we done it
kwa yesu kuzuri, kwa yesu amani
kwa yesu furaha, kwa yesu shwari kuu

chorus [ chazz barton ]
ni upendo wa moyoni
ni upendo wa rohoni
he loves you, x4
anakupenda (2)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...