lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mercy masika feat. angel benard - huyu yesu

Loading...

mhuuu (haleluya)
huyu yesu si sanamu si mwanada adanganye
ahadi zake zote kweli naaminaa nimemuona

oohh akisema ndio hakuna wa k-mpinga akikubaliki hakuna wa kunyang’anya akikuhaidi kwa wakati atimiza anavyokuita ndivyo ulivyo
(huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie (mwambieee))
umetangaziwa nini
umetabiliwa nini maishani mwako mwambie
unaumizwa na nini
je unahofu gani maishani mwako mwambiee
akisema ndio hakuna wa k-mpingaa
akikubaliki hakuna wa kunyang’anya
akikuhaidi kwa wakati atimiza
anavyokuita vivyo ulivyooo
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...