
lirik lagu mejja - ya mwisho
nilikuwa nimetulia tu, nakunywa chai
ya tangawizi nikikula tumayai
sina noma nimetulia walai
msupa akakuja akishout akidai
gai, mejja neme khadija
nikajua ukiitwa na jina ya id
hapa kuna noma moja imelipuka!
who is this?
anakutumia nudes, na emoji kiss
nikamwambia baby nadhani una~overthink
akasema wait, kitu last week
nilipata shati imejaa lipstick
alafu this week unaniplay na this b~tch
akanipiga bare
so you think i’m stupid?
nitachukua vitu zangu nikuwachie hio nyumba
ulete hao mapoko uendelee kuwakula
nikamwambia baby you know you’re my life
mi ntakuoa i’m gonna make you my wife
nikapiga magoti nikamwambia – i’m sorry
nikaanza kulia, nikamguza roho
akatulia nikamshow
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
aki baby nisamehe i promise you
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
aki baby nisamehe i promise
next day nilikuwa nimetulia
nikaskia beshte yangu amenipigia
utakula jaba? unaskia kuchana?
nikamshow, pull up my brejin
(pull up my brejin)
mi nakula jaba tu polite
nikapata message
are you free tonight?
huyu msupa amenitoa wazimu
ni clande, moja kitu
nikaambia beshte yangu anipеleke south b
msupa akasema tutumiе gate b
hapo ndio beshte yangu alishika rada
akaniambia, mejja nini unataka kufanya?
ni juzi tu manzi yako alikupata
ukamuambia kuwa player umeacha
kabla nimjibu manzi akafungua gate
vile amevaa, amevaa mini
ukicheki thighs zake, hungeamini
mpaka beshte yangu akasema anakaa fiti
nikamwambia, eh we, we ni ka mimi
akaniambia – na ukishikwa, nikamjibu hivi
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
after tumekulana, sitakulana tena
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
after tumekulana, sitakulana tena
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu joebtheunderstander - all old memories
- lirik lagu 6slick - matt hardy
- lirik lagu darealjgm - come on
- lirik lagu ladislav lučenič & limit (svk) - autá pred tebou a za tebou
- lirik lagu magdalene rose - merry christmas, happy holidays
- lirik lagu zepiness - amornb
- lirik lagu requiem for you - not like the other girls
- lirik lagu moonau+ - castle vein with
- lirik lagu rickyedit - la bicicleta (parodia)
- lirik lagu corey lingo - would you mind