lirik lagu meddy voice - siku mbaya 2
ata na mm nabonyeza reli
naitwa meddy voice
tujo
man tujo one the mix
yan dah ilikuwa majira ya usiku
nilipoteza mkwe na wife
yan ilikuwa mbaya iyo siku
maana iyo siku ilikuwa mikos mitupuu
usingizi uji machoonii
maana mke w~ngu simuonii
kesho naitjika msibanii
awamesema awaziki bila mimi
mawazo mengi kichwanii
sijui hata nifanye niniii
bado nipo apa hospitalinii
ndugu jamaa awajui chochote kuhusu mimi
iyo siku matatizo yalinielemea mie
nikik~mbuka inanifanya niumie
sina msaada nani anisaidie
nilikufulu mungu paka kuamka ilifanya nijutie
iyo siku matatizo yalinielemea mie
nikik~mbuka inanifanya niumie
sina msaada nani anisaidie
nilikufulu mungu paka kuamka ilifanya nijutie
mara gafla simu inaita tena wakati nipo hospitalini
namba ilikuwa haina jina yani namba imekuja ngeni
napokea taarifa tena huzuni un~z~di moyonii
daah
apo ndio ilipokuja ruka zaidi akili
kabla alijaisha hili linaongeza hili
yani kiufupi hali ilikuwa so shwarii
nami nikaona ngoja niwape zangu habari
nikawaambia mm nipo hospital
mke w~ngu na yeye amepata ajalii
amepata ajali kibiti sheli
na yeye ninavyokuambia mauti ushamkabili
yaaan dah nilijuta kuzaliwa
mana iyo siku niliona kama ndoto
ilikuwa sio poaa
mana iyo siku azikuisha changamoto
nilijuta kuzaliwa
mana iyo siku niliona kama ndoto
ilikuwa sio poaa
mana iyo siku azikuisha changamoto
basi bwana nikakaa kusubiri
ili mradi ifike alfajiri
mana tayari nishawapa taarifa upande mmoja
bado upande wa pili
wakati na skuti natafakari
nitafanya vip ili niwape habari
maana simu yangu imeisha vocha na imebaki hela ya nauli
baada ya dakika kazaa kama mungu simu tena inaita
napokea nasikia baba mkwe akifoka uku ~n~lalamika
akaniambia naletaa mzaa wananisubiri mpaka sasa sijafika
akaongea maneno makali au huu apa msiba haujakugusa
mimi nikamwambia usinalaumu
subiri baba mkwe usikate simu
maana mwenzako yalionitokea akili imeruka yaan sipo timamu
upande w~ngu siku ishakuwa ngumu
matatizo yanapokezana kizamu zamu
baba mzazi na mke w~ngu hapa ninavyo ongea washakuwa marehemu
sindo kukaa pambazuka
asubuhi nakurupuka
ila cha kusikitisha
kweli ndoto tuu nilikuwa naota
sindo kukaa pambazuka
asubuhi nakurupuka
ila cha kusikitisha
kweli ndoto tuu nilikuwa naota
tujo
man tujo one the mix
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu xanxsdiary - whyme.bootleg
- lirik lagu od band - kanada
- lirik lagu north west - piercing on my hand
- lirik lagu deyco, t&k & jckc - club
- lirik lagu exo - crazy
- lirik lagu shower (ltu) - contact!
- lirik lagu blöödhag - frank herbert
- lirik lagu rixia - toxic
- lirik lagu widlton - boyfriend
- lirik lagu raoul laparra - lettre à une espagnole